BREAKING NEWS; serikali yafanikiwa kumthibiti jangili Kinana, yaja na mkakati kabambe.

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Kutokana na wimbi la mauaji ya Tembo kwenye hifadh za taifa na usafirishaji wa meno yake nje ya nchi, serikali imebuni mpango kabambe wa kuthibiti biashara hiyo na inayolenga kumwadabisha katibu mkuu wa Ccm ndugu kinana ambaye n kinara wa biashara hiyo!
Serikali imefikia mpango wa kukamata tembo wote nchini na kuwagawia wananchi wawafuge kama mifugo wengine!.
Sorce: kikao cha Ikulu na maofsa wa wizara ya maliasili na Utalii.
 
hahahahaha sasa sia atakuwa anawavizia na kuwaua kwa urahisi zaidi:
Nalog off
 
hahahahaha sasa sia atakuwa anawavizia na kuwaua kwa urahisi zaidi:
Nalog off

wanakuwa mali yako kama unafuga ng'ombe vile! Unaweza nunua Ak47 ,ukizembea kinana akipita lawama kwako sio nanilii tena
 
Imagine unawafugia manzese na nyumba zilivyobanana
 
Hapo watamrahisishia kazi yake ya ujangili sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…