TANZAGIZA full. Kuna waziri anaitwa MUONGO halafu ana pihechidii, anahusika na mambo ya electricty please mtumieni PM faster. Halafu mjue twiga na giza hili wanashindiliwaje kwenye ndege za uarabuni! Jamani shingo zao...
Migomigo vibaka wametamalaki, mazingira yanawaruhusu.
umerudi
Huku kwetu chang'ombe ndio balaa. Jana nilishindwa kupiga bao la tatu kwa sababu ya joto. Naona leo wamekata mapema kwa hiyo inawezeka tukalala mzungu wa4
Jogi, hatuonani mpaka wakati wa matatizo ndugu yangu...
Nipo visiwa vya Zimbabwe. No umeme
Ukowapi mwenzetu maana huku BOKO totoroooooo.
Naona ccm wanatumia mbinu mpya ya kututupia matatizo ili yatuunganishe. ukizingatia nilichelewa kuchaji hii simu inaweza kuzima wakati wowote.