Breaking News:- Viongozi wa Uamsho wapewa dhamana

Kuna kila dalili za akina Farida na wenzake kuozea rumande. Ila ni kwa nia njema tu...
 
Jela makazi ya wakorofi! Gvt has to be careful na hili zigo la Udini TZ!

Zigo naona ni akili yako uliyoitune kuwa kila aliye gerezani ni mkorofi, pia zigo ni akili yako kwa kuteelewa nini udini. Na hapo ndio huwa tatizo, tulio wengi huwa tunakimbilia kuandika juu ya udini bila kuweka wazi Nani mdini, kivipi amekuwa mdini, na nini chanzo cha yeye kuwa mdini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…