Vipi ntapata tuKonyagi tudogo japo tutano, ili nipate stimu ya kuongea Live na Remmy juu ya linalonisibu? Maana nikiwa sobber naona aibu mie!!
Baaabuuuu!!!!!!!! wewe ni mkali,mi ntaomba hisani ya kujirusha na huyo dada mburudishaji,maana, ndo raha yetu tulio mabachela!!!
Babu akikujibu unipitie twende tukaserebukeBabu nakusalimia, amani ya bwana iwe nawe. Vunja jungu sa ngapi vile?
Kama kawaida bado ako mlimani anafanya mafungo!Kiongozi leo wapi? Hivi sauti ya jangwa bado anatubu maombi mlimani?
Afadhali aisee, maana umenihakikishia kuwa nikirusha neno la kibinafsi halitaanzishiwa thread ya page 10 huku chit-chat!Hahahaaaaaa...PJ bana!
Leo ni full vunja jungu utapata zaidi ya kumi.
By the way, sabu Leo ni full bata wala usipate tabu
We ninyakue tu.
Kama kawaida bado ako mlimani anafanya mafungo!
Inakuwaje mkubwa, mwanaArusha-Wing hajambo huyo?...maana mzee umempiga server-ban kuingia huku!. ha ha haaa!
nimemmiss mzee wa anonymousKama kawaida bado ako mlimani anafanya mafungo!
!
Afadhali aisee, maana umenihakikishia kuwa nikirusha neno la kibinafsi halitaanzishiwa thread ya page 10 huku chit-chat!
At least now iam breathing again!...huh!...Yaani nishalowana na jasho!
Vp waheshimiwa wako safi?, na ushamalizana nao?...hakuna aliyekughasi aku kukunyanyasa kijinsia?