Asprin hebu nipe mashairi ya ule wimbo wa Dudubaya simika mzizi ntentemente.
nini kinaendelea hapa...........
Wapenda safari kanin na mama kasema leo tuka mtembele na tulale sa sijui utakataa
Bb umeanza eeeh sa kwanin hujasema mapema basi na mim siend ngoja nchukue bajaji nije na zawad jee unayo au nipitie pale dukan nikachukue? Au tutawapa mkono tu wa pongez banaMwa...mwambie tutaenda jpili mi nko uku tayar
Bb umeanza eeeh sa kwanin hujasema mapema basi na mim siend ngoja nchukue bajaji nije na zawad jee unayo au nipitie pale dukan nikachukue? Au tutawapa mkono tu wa pongez bana
Hivi beibe nasty kumbe ushafanikiwa kumchuna hommie wangu Mentor?. Wareva, hebu nijuze leo jumangapi?
Hivi beibe nasty kumbe ushafanikiwa kumchuna hommie wangu Mentor?. Wareva, hebu nijuze leo jumangapi?
Mkuu naona bado una hengova,hivi hujui kuwa @ mentor alikuwa anamzuga tu cathy ili ale hela ya @ beibe nasty ( she is rich baada ya kuachika kwa tajiri bishanga akapewa mgao na mahakama wa dola laki kazaa na nyumba masaki).
Kiukweli roho ya mentor ipo kwa @ king'asti.

Dada halali wa mentor ni beibe nasty hao wengne mnaowataja siwajui na mpaka kuniamin ktk suala lake na cate huyo king'ast alikuwaga wifi yangu na ndo akaachika sasa inavoonekana hapa mpo nyuma na maendeleo ya familia yetu hata wewe babu aspirin tabia zako hujaziacha nakwaamviaje sasa mimi mimii ni jeshi lamtu mmoja
Samahan babu ila yanibid ili kaka mentor awe nafurahaAisee! Unampiga mkwala babu yako?
Samahan babu ila yanibid ili kaka mentor awe nafuraha
You are a good girl. Hebu ntafutie ummu kulthum uje naye pande hii. Hakikisha cacico hawaoni wakati mnakuja.