Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ndio waone kuwa Israel imechanganyikiwa.Napo huko Hizbullah anajificha au?
Mkuu bado haijajulikana!Napo huko Hizbullah anajificha au?
wanaripoti negative kwa israeli, wacha wakimbizweNapo huko Hizbullah anajificha au?
Sidhani kama wana chembe ya ubinadamu hawa!Ndio waone kuwa Israel imechanganyikiwa.
Unaenda kuwafokoa waandishi wa habari wana shida gani na wewe!??
Wewe ni "Goyim".wanaripoti negative kwa israeli, wacha wakimbizwe
Yaleyale ya mahasimu wao, acha wachapane kuitafuta pepoSidhani kama wana chembe ya ubinadamu hawa!
Na ndiyo maana jamii nyingi hazikupenda kuishi na hawa wayahudi wa mchongo!
Ila sishangai! Mafundisho ya dini ya kiyahudi ndivyo yalivyo! Asiye myahudi wanamuita Goyim.
Kwa mafundisho ya dini ya kiyahudi akiua Goyim haupati dhambi.
Afadhali hao mahasimu wao ila wayahudi wamezidi kwenye Talmudi yao!Yaleyale ya mahasimu wao, acha wachapane kuitafuta pepo
Baadhi yao ni member wa magaidi ama wanaunga mkono ugaidiNapo huko Hizbullah anajificha au?
Huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Waandishi wa habari sio wanajeshi.Wadau hamjamboni nyote?
Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao
Taarifa kamili tutawaletea
October 17, 2024
Al Jazeera office evacuated in Beirut after receiving warnings
By Reuters
Today, 3:07 pm
DUBAI, United Arab Emirates — Qatar’s Al Jazeera TV says its office in Beirut had been evacuated after the building received several warnings.
The broadcaster did not say who issued the warnings.
Waarabu wana majini Israel wana lijishetani, ni Vita ya mumiani wanyonya damu. Hamna mwenye afadhaliHahaha hivi MAJINI huwa hayana msaada kwenye vita?
Kabisa mkuu hata sisi tusipokuwepo kuna vizazi vyetu magaidi lazima yashughulikiwe bila simile yeyote hata kama ni ndugu yangu wa damu.Baadhi yao ni member wa magaidi ama wanaunga mkono ugaidi
Washughulikiwe effectively.
Kwani wewe Mzayuni? Goy ni MTU asiye MzayuniWewe ni "Goyim".
hahahaWaarabu wana majini Israel wana lijishetani, ni Vita ya mumiani wanyonya damu. Hamna mwenye afadhali