Vita na ile dini inayoita wengine kafiri wewe unawasemaje.Sidhani kama wana chembe ya ubinadamu hawa!
Na ndiyo maana jamii nyingi hazikupenda kuishi na hawa wayahudi wa mchongo!
Ila sishangai! Mafundisho ya dini ya kiyahudi ndivyo yalivyo! Asiye myahudi wanamuita Goyim.
Kwa mafundisho ya dini ya kiyahudi akiua Goyim haupati dhambi.
yaani watu na mitutu ya bunduki wanataka kupigana na washika vipaza sauti halafu ndo utakuta wanajitamba sisi hatari kwenye mswala ya vita...israeli wapuuzi sijapata kuonaWadau hamjamboni nyote?
Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao
Taarifa kamili tutawaletea
October 17, 2024
Al Jazeera office evacuated in Beirut after receiving warnings
By Reuters
Today, 3:07 pm
DUBAI, United Arab Emirates — Qatar’s Al Jazeera TV says its office in Beirut had been evacuated after the building received several warnings.
The broadcaster did not say who issued the warnings.
Hao nao ni magaidi waliojificha kwenye vipaza sauti lazima wafyekwe na waoyaani watu na mitutu ya bunduki wanataka kupigana na washika vipaza sauti halafu ndo utakuta wanajitamba sisi hatari kwenye mswala ya vita...israeli wapuuzi sijapata kuona
Haki za binadamu zipi hizo!? Wanajifanya wahabari kumbe magaidi tu!Huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Waandishi wa habari sio wanajeshi.
IDF ni jeshi la mashetani
Yaani nyinyi Waislamu bana yale mabaya yote yaliyoandikwa kwenye kitabu cha shetani wenu kaallah huwa mnageuzia wayahudi wa watu? Sasa mm nakupa aya zenu za kishetani za chuki hapa. Soma hiyo Quran 9:30 pamoja na hizo Ayat nyingine zinazochochea chuki dhidi ya jamii nyingine. Nakutaka na wewe utupe maandiko ya Torah yanayoeneza uovu dhidi ya jamii nyingine. Kama huna ukae kimyaSidhani kama wana chembe ya ubinadamu hawa!
Na ndiyo maana jamii nyingi hazikupenda kuishi na hawa wayahudi wa mchongo!
Ila sishangai! Mafundisho ya dini ya kiyahudi ndivyo yalivyo! Asiye myahudi wanamuita Goyim.
Kwa mafundisho ya dini ya kiyahudi akiua Goyim haupati dhambi.