Breaking news, wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon

Joined
Jan 6, 2022
Posts
56
Reaction score
336
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao,
Israel Bado haijatoa taarifa rasmi ya tukio ilo,
Hezbollah imethibitisha kuwauwa wanajeshi hao wa Israel,
Hezbollah IMESEMA kwamba imejipanga kikamilifu kupambana na uvamizi huo wa Israel
 
Siyo 30, ni 478
 
Ila vita ya ground kama kubeti tu , bora warushe tu makombora ...
 
Yule mzalendo w kitanzania mbona kimya atuoni akileta uzi imekuwaje kaka uwamini machoyako jikaze baba uje tunakutegemea mjomba heee nguvu una kabisa 🤪🤪
 
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao,
Israel Bado haijatoa taarifa rasmi ya tukio ilo,
Hezbollah imethibitisha kuwauwa wanajeshi hao wa Israel,
Hezbollah IMESEMA kwamba imejipanga kikamilifu kupambana na uvamizi huo wa Israel
Hahaha we uko eneo gani Lebanon 🇱🇧?
 
Habari ambayo haina reference........ni sawa na fumanizi la guest ambalo aliyekuja kufamania anaanza kulia yeye na siyo mgoni wake
 
kwani si viongozi wao wote wameuliwa hawa wanatoa wapi kiburi hiki wakati hawana viongozi?
 
Lebanon kuna vita,elewa maana ya vita( kupigana,kuuana) tena siyo kwa virungu,bali mijisiraha ya maangamizi.

Sasa unadhani hao israel wameenda kupiga ama kupigana?
Wao wenyewe wanajua wameenda kuuana,hivo wanaua na kufa ndiyo
maana ya vita
sasa choko unashabikia eti wamekufa kadhaa!!!
Watu mmekuwa wa ajabu sana! Mtu mwenye akili finyu tu ndiye awezaye kushabikia vita kama vile mpira
 
Vijana wa Ayatollah warudisha lini mapigo? Tunasubiri Kwa hamu. Nawashauri Iran, watangulize viroketi vya engine za bajaji vya bei rahisi kama elfu 10, kuichanganya iron dome, kusha washushe ballistic zikifatiwa na supersonic, Kwa kifupi adui asipate muda wa kupumua kubadili mkanda wa magazine wa iron done.
 
Mleta mada atuambie yeye yupo eneo gani huko Lebanoni?
 
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao,
Israel Bado haijatoa taarifa rasmi ya tukio ilo,
Hezbollah imethibitisha kuwauwa wanajeshi hao wa Israel,
Hezbollah IMESEMA kwamba imejipanga kikamilifu kupambana na uvamizi huo wa Israel

Vipi hao mazayuni hawakudanganya idadi ya vifo kama kawaida yao!
 
Back
Top Bottom