Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
😁😁Wanapigania mademu
Siyo 30, ni 478Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao,
Israel Bado haijatoa taarifa rasmi ya tukio ilo,
Hezbollah imethibitisha kuwauwa wanajeshi hao wa Israel,
Hezbollah IMESEMA kwamba imejipanga kikamilifu kupambana na uvamizi huo wa Israel
Hahaha we uko eneo gani Lebanon 🇱🇧?Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao,
Israel Bado haijatoa taarifa rasmi ya tukio ilo,
Hezbollah imethibitisha kuwauwa wanajeshi hao wa Israel,
Hezbollah IMESEMA kwamba imejipanga kikamilifu kupambana na uvamizi huo wa Israel
Lebanoni ya Kigamboni inayoitazama IkuluHahaha we uko eneo gani Lebanon 🇱🇧?
Hahahahaahah au Golan ya pale Ubungo msewe?Lebanoni ya Kigamboni inayoitazama Ikulu
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,