msnajo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 3,066 Reaction score 1,141 Feb 7, 2011 #1 Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
VoiceOfReason JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,194 Reaction score 1,365 Feb 7, 2011 #2 Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue?
Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue?
Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Feb 7, 2011 #4 VoiceOfReason said: Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue? Click to expand... ndiyo.udsm.kawambwa kashindwa kutoa majibu na polisi wamepiga mabomu watu kama sita wamejeruhiwa vibaya
VoiceOfReason said: Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue? Click to expand... ndiyo.udsm.kawambwa kashindwa kutoa majibu na polisi wamepiga mabomu watu kama sita wamejeruhiwa vibaya