Breaking News

Breaking News

msnajo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
3,066
Reaction score
1,141
Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
 
Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue?
 
Kuna mdau Weborya..., Kwenye post nyingine amesema live sahivi wanafunzi wanapigwa mabomu na polisi..., kuna mwenye news kuhusu hii issue?

ndiyo.udsm.kawambwa kashindwa kutoa majibu na polisi wamepiga mabomu watu kama sita wamejeruhiwa vibaya
 
Back
Top Bottom