BREAKING NEWS:
Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi baada ya kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wa CUF.
Mimi nafikiri sasa kuna haja Idara ya utalii kufikiria kuanzisha "political tourism in Tanzania"ili iende sambamba na Cultural tourism.BREAKING NEWS:
Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi baada ya kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wa CUF.
Umeonaeeh!Hii kama ni kwel,Itakua ni nyingine kati ya maajabu yanayopatikana Tanzania pekee