*Breaking News*

*Breaking News*

Rais2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
3,248
Reaction score
5,537
BREAKING NEWS:

Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi baada ya kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wa CUF
 
BREAKING NEWS:

Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi baada ya kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wa CUF.
1474713948251.jpg
1474713953581.jpg
1474713953581.jpg
1474713948251.jpg
 
Nasikia sauti sauti ya mama sasa ni saa 5 kwa heri mwalimu
 
Naona mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kwa wingi kwenye ofisi za CUF. Sijawahi kusikia popote duniani kiongozi aliyejiuzulu kwa barua kwa hiari yake akaja akabadilisha hiyo 'hiari'
 
msipotoshe, barua imetoa ushauri, msajiri hana nguvu ya kutengua maamuzi ya kamatia kuu
 
BREAKING NEWS:

Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi baada ya kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wa CUF.
Mimi nafikiri sasa kuna haja Idara ya utalii kufikiria kuanzisha "political tourism in Tanzania"ili iende sambamba na Cultural tourism.
 
Hivi barua ya kujiuzulu imeandikwa lini nadhan ni mwaka umekamilika na wiki kadhaa hivi katibu na sekretariet yake haikuona umuhimu wa ile barua kuijadili na kuitolea maamuz?? kweli ndani ya cuf hakukuwa na mwanasheria hata mmoja wa kuiongoza sekretariet ya chama kuhusu nin kifanyike ili barua ijibiwe na kutolewa maamuz!!! kwa hali ilivyo ndani ya wiki ijayo sitoshangaa kumuona prof anatimba kisutu
 
Nahisi huyu anatumika kuiua CUF maana sioni future ya chama kama kiongozi analazimisha kurudi madarakani wakati wanachama hawamtaki.
 
Huo ni ushauri unaweza kupokelewa au kukataliwa
 
Hii imekaa kichochezi .. Tunaelekea kubaya sana... Siasa nazo zimekuwa kama vilabu vya simba na Yanga maana ndio vilabu ovyo duniani masuala ya uongozi na makocha nakumbuka kibadeni walimchimbulia kabuli la mzazi wake alipokataa kuondoka Simba... Mengi anajua alichokipata kwa Yanga alijuta... Naona bundi kwa lipumba
 
Back
Top Bottom