MKEWE ASHASEMA YY NDIYE RAISI KWA SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!RAIS MUGABE AACHIA NGAZI
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.
Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Si bure...itakuwa cha Arusha[emoji2] [emoji2]MKEWE ASHASEMA YY NDIYE RAISI KWA SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]RAIS MUGABE AACHIA NGAZI