Breaking news

Breaking news

Tena bangi yenyewe hajachagua tumba,kaisokota na tumba zake[emoji23] [emoji23]haya ndo matokeo
Huu sasa ni uchochezi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu sasa ni uchochezi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] muwe mnachambua mbegu mnatoa.We unavuta na mbegu zake!Iko siku utaona umegonga tano na Mungu mama tena!!
 
RAIS MUGABE AACHIA NGAZI

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.

Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom