Kimakonde mkuuLugha gani hii mkuu...?
Nawaokota mmoja mmoja hapa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mimi mwenyewe....
unaonaje tukiomba huu uzi wako ufungwe.Nilikua najaribu tu mkuu....[emoji23] [emoji23]
Tena bangi yenyewe hajachagua tumba,kaisokota na tumba zake[emoji23] [emoji23]haya ndo matokeoSiku yako yakwanza kuvuta bangi
[emoji12] [emoji12] muwe mnachambua mbegu mnatoa.We unavuta na mbegu zake!Iko siku utaona umegonga tano na Mungu mama tena!!Huu sasa ni uchochezi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]RAIS MUGABE AACHIA NGAZI
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.
Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa nini ufungwe wakati ni mawazo yake tu mkuu kayaweka kwa maandishi ili na sisi tujue anawaza nini, hakuna mbayaunaonaje tukiomba huu uzi wako ufungwe.