Ze Joel Ze Charles
Member
- Feb 11, 2017
- 26
- 16
Watakulamba ban.T. A. K. O. L. A. K. O
Watakulamba ban.
Tukio lisilojulikana , la kumteka nyara mtu asiyejulikana!![emoji3] [emoji2] Watu wasiojulikana wamevamia kwenye Jengo lisilo julikana wakiwa na silaha zisizo julikana na kufanya tukio lisilo julikana na kumtekanyara mtu mmoja asiye julikana na kutokomea naye kusiko julikana wakiwa na gari lisilo julikana -.......![emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji687]
:-chanzo [emoji342] TV isiyojulikana
Soma title ya jukwaa kwanza ndio ujue kulopoka!!!!Huna kazi ya kufanya isipokuwa kupost huu ujinga?
Pole kwa kupoteza mwelekeoT. A. K. O. L. A. K. O
Jaribu kuwamakini namajukwaa unayoweka hizi post [emoji775] zako!Yani mi kila Nikipanda na hoja zangu moderator unanipiga chini hata sekunde haikai. Ajabu uzi kama huu unaachwa