Mwehu wahedHabari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la usafiri wa mwendokasi liitwalo SARATOGA lenye namba ya usajiri T469 SHE lililokuwa likitokea Kigoma kwenda Dar likiwa na abiria 75, majira ya saa 12 jioni ya leo liliacha njia kuu na likaingia hotelini, na abiria wote wakapata msoxi saaafi wa usiku kisha wakaendelea na safari. [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
sio kila siku habari za ajili tu[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hilo bichwa lako. We unaingia jukwaa la utani na povu nani kakuambia tuna shida ya kufua sisi..
sijaingia na povu mkuu, naona uko wrong kwa kusema hivyo, mm nimereact tu huo usemi wakoKama hilo bichwa lako. We unaingia jukwaa la utani na povu nani kakuambia tuna shida ya kufua sisi..
Shubaamiti.
Wewe nawe,nimemjibu huyo Ngurutu anayetokwa povu na post yakosijaingia na povu mkuu, naona uko wrong kwa kusema hivyo, mm nimereact tu huo usemi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
shingo pia inaumia bure