BREAKING NEWS!!

BREAKING NEWS!!

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la usafiri wa mwendokasi liitwalo SARATOGA lenye namba ya usajiri T469 SHE lililokuwa likitokea Kigoma kwenda Dar likiwa na abiria 75, majira ya saa 12 jioni ya leo liliacha njia kuu na likaingia hotelini, na abiria wote wakapata msoxi saaafi wa usiku kisha wakaendelea na safari. [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
sio kila siku habari za ajili tu[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • tapatalk_1501353203041.jpeg
    tapatalk_1501353203041.jpeg
    8.7 KB · Views: 35
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la usafiri wa mwendokasi liitwalo SARATOGA lenye namba ya usajiri T469 SHE lililokuwa likitokea Kigoma kwenda Dar likiwa na abiria 75, majira ya saa 12 jioni ya leo liliacha njia kuu na likaingia hotelini, na abiria wote wakapata msoxi saaafi wa usiku kisha wakaendelea na safari. [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
sio kila siku habari za ajili tu[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwehu wahed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom