damas dashir
Member
- Aug 18, 2017
- 44
- 11
Imetokea mbezi louis ni mara baada ya umlevi mnoja kununu redio nakurudinae mpaka dukani eti akidai redio one haikamati hivyo abadilishiwe hama arudishiwe fedha yake ungekua wewe ndo muuzaji hapo ungelifanyaje!!!