Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa... sio bure weweBREAKING NEWS
Watanzania mnaombwa kuvaa helmet
ili kujikinga na mpira wa penati uliopigwa
na mchezaji wa Yanga Juma Mahadhi, inasemekana utashuka muda wowote
kutoka ANGANI.
[emoji22][emoji23][emoji2]
Unaohusisha kupigwa wimbo wa taifa mchana!mi nikajua habari za MSIBA! TENA MSIBA MKUBWA SANA !!!!!!!!! alaaaaaaaaaaa
Unaohusisha kupigwa wimbo wa taifa mchana!
Unaohusisha kupigwa wimbo wa taifa mchana!
Na bendera nusu mlingotiUnaohusisha kupigwa wimbo wa taifa mchana!
Penalty ya Mahadhi inanikumbusha ile aliyopiga samatta dhidi ya Egypt hadi tukapoteza 2-0.