Breaking News.........

Breaking News.........

Mchezo huu sio mzuri utafanya JF ipoteze umaarafu wake
 
Mamayo aisee mke wangu ujue yupo humo mavi yashanibana tayari
 
Mkuu hio ni breaking news kweli??
Mkuu usichukulie kila kitu serious, hii kitu ungrikuta kwenye "Habari na hoja mchanganyiko" angekuwa na kesi ya kujibu, wenye jukwaa lao wameshabonyeza "like" tayari. Kama ni mtu wa kujari sana utagombana na kila mtu kwenye hili kukwaa maana wana "makuzi" na "makuzi" ndio sehemu ya maisha yao. Karibu sana "chit chat"
 
Back
Top Bottom