[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Vyuma vimekaza mpaka basi, na bado mtakuwa mnaongea peke yenu njiani
Mkuu usichukulie kila kitu serious, hii kitu ungrikuta kwenye "Habari na hoja mchanganyiko" angekuwa na kesi ya kujibu, wenye jukwaa lao wameshabonyeza "like" tayari. Kama ni mtu wa kujari sana utagombana na kila mtu kwenye hili kukwaa maana wana "makuzi" na "makuzi" ndio sehemu ya maisha yao. Karibu sana "chit chat"Mkuu hio ni breaking news kweli??