BREAKING NEWS

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika Linalosafirisha Abiria Kotoka Arusha To Dar, Dar To Arusha Lilokuwa Linatokea Arusha Kwenda Dar, Lilikua Limebeba Abiria 71,wanaume 43,wanawake 28.
lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John.
Lilipofika Maeneo Ya Lugoba Nyuma Ya Chalinze Lilikutana Na Gari Kubwa La Mizigo Semi Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT,lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh.
Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light), Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu.
Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari.
Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...
Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!
 
Ngoja nifaid kukaa seat ya mbele....no comment!!
 
Wewe ni kichaa si bure hata kuandika umeunganisha maandishi au viroba vimerudi??
 
Mimi nikafikiri walisimama na kuanza kupiga stori huku wakisababisha foleni.
 
Nawaomba comment yangu iwe ya mwisho, nawaomba msicoment chochote ili kudhibiti wajinga kama hawa. wanao fikiri wote humu ni wajinga
 
Nawaomba comment yangu iwe ya mwisho, nawaomba msicoment chochote ili kudhibiti wajinga kama hawa. wanao fikiri wote humu ni wajinga
Unajua ni jukwaa gani lakini au ujuaji mwingi mbele kiza
 
]Unajua ni jukwaa gani lakini au ujuaji mwingi mbele kiza

Kwani comment yangu haipo ktk maudhui ya jukwaa hili, kama ulivyojoke na comment ichukulie hivyo
 
Ngoja wataalamu wa habari watujuze kama hii nayo ni habari achilia mbali kuwa breaking news. Nadhani huko Tanzania kuna bangi mpya imezinduliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…