lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika Linalosafirisha Abiria Kotoka Arusha To Dar, Dar To Arusha Lilokuwa Linatokea Arusha Kwenda Dar, Lilikua Limebeba Abiria 71,wanaume 43,wanawake 28.
lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John.
Lilipofika Maeneo Ya Lugoba Nyuma Ya Chalinze Lilikutana Na Gari Kubwa La Mizigo Semi Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT,lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh.
Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light), Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu.
Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari.
Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...
Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!