Hakuna cha muda wala nini,kazi imewashinda,huu ndio ukweli mchungu.

Duh waweza pgana kwa mpango huu kudadadadecky!..

2ru dat mzaz 2megeuzana standard 5,.

Dah...tuwape wiki 2 za matumaini!

Heey kaka 2wiks?

Duh

na vp kama ujachaguliwa na unatakiwa ku apply agn?

Myb unapiga tempo bro so unauwakiwa wa kuzishika, wengine 2nabanwa na familia 2nataman 2pate uwakiwa wa kusepa mapema

2weks?

Sasa Y waandike tarehe4? Wanampa nani moyo o wanajiaribia wenyewe nchi kuwaona kazi imewashinda.

polen sana wadogo zetu! Lakn haka ndo kanch ketu, kasungura bado kadogo kakikuwa watatoa ontime.

Nahisi hata kitakachotolewa kitazua maswali mengi make excuses zimezidi kana kwamba wanatumia mishumaa kufanya hii kazi kumbe wana umeme na mitambo ya kisasa ya centred system,ahaaa!yaleyale ya NEC tukaambiwa mfumo wa kisasa sasa matokeo yatatumwa kutoka kwenye vituo-DSM na yatajumlishwa na kusoma saa hiyohiyo,kilichokuja kutokea wa Mwanza,Arusha na Shinyanga ndo wanajua.