BreakinG Newz:TCU:

BreakinG Newz:TCU:

i dont even know what to say..

Nahisi hata kitakachotolewa kitazua maswali mengi make excuses zimezidi kana kwamba wanatumia mishumaa kufanya hii kazi kumbe wana umeme na mitambo ya kisasa ya centred system,ahaaa!yaleyale ya NEC tukaambiwa mfumo wa kisasa sasa matokeo yatatumwa kutoka kwenye vituo-DSM na yatajumlishwa na kusoma saa hiyohiyo,kilichokuja kutokea wa Mwanza,Arusha na Shinyanga ndo wanajua.

Heey kaka 2wiks?
Duh
na vp kama ujachaguliwa na unatakiwa ku apply agn?
Myb unapiga tempo bro so unauwakiwa wa kuzishika, wengine 2nabanwa na familia 2nataman 2pate uwakiwa wa kusepa mapema

2weks?
Sasa Y waandike tarehe4? Wanampa nani moyo o wanajiaribia wenyewe nchi kuwaona kazi imewashinda.

Dah...tuwape wiki 2 za matumaini!

Wangesema moja 2 kama ni september kuliko kupandisha wa2 presha na wengine kushindwa kupanga ratiba zao binafsi

polen sana wadogo zetu! Lakn haka ndo kanch ketu, kasungura bado kadogo kakikuwa watatoa ontime.

Tempo wapi kaka??hawa jamaa wametufanya cc midoli,sasa k kama leo imeshndkana unafikiri kuna nn tena kama co kujipa hope kwa wiki 2?
Heey kaka 2wiks?

Duh

na vp kama ujachaguliwa na unatakiwa ku apply agn?

Myb unapiga tempo bro so unauwakiwa wa kuzishika, wengine 2nabanwa na familia 2nataman 2pate uwakiwa wa kusepa mapema

2weks?

Sasa Y waandike tarehe4? Wanampa nani moyo o wanajiaribia wenyewe nchi kuwaona kazi imewashinda.

Hivi hakuna hata muhusika mmoja wa TCU humu JF?lhuenda ikawa wapo wanatuchek tu
Nahisi hata kitakachotolewa kitazua maswali mengi make excuses zimezidi kana kwamba wanatumia mishumaa kufanya hii kazi kumbe wana umeme na mitambo ya kisasa ya centred system,ahaaa!yaleyale ya NEC tukaambiwa mfumo wa kisasa sasa matokeo yatatumwa kutoka kwenye vituo-DSM na yatajumlishwa na kusoma saa hiyohiyo,kilichokuja kutokea wa Mwanza,Arusha na Shinyanga ndo wanajua.

Wapo kisiasa na sio kielimu pia wapo OuTDATED na sio UPDATE! Teh teh teh teeh!

Back
Top Bottom