Breaking newz: Wawili Walazwa baada ya kunywa sanitizer

Breaking newz: Wawili Walazwa baada ya kunywa sanitizer

Nilitaka kutest leo kumbe haifai
IMG_20200321_205816.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wawili waliotambulika kwa jina la Joseph Omolo na Jackline Wambui wakazi wa Kakamega nchini Kenya wamelazwa katika hospital huko Kakamega baada ya kuzidiwa kutokana na kunywa dawa ya kuoshea mikono maarufu kama sanitizer.

Sosi. Ntv kenya

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaa majirani mna nini lakini?

macson
 
Wakenya buana kwa ushamba,wamekunywa satinaiza,oooh sorry Sanitizer
 
Watu wawili waliotambulika kwa jina la Joseph Omolo na Jackline Wambui wakazi wa Kakamega nchini Kenya wamelazwa katika hospital huko Kakamega baada ya kuzidiwa kutokana na kunywa dawa ya kuoshea mikono maarufu kama sanitizer.

Sosi. Ntv kenya

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
MH kwa hapa hawa ndugu zangu!!ni kingereza tu

mwongo atofautiani Na mchawi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa noise neighbors wana vituko sana [emoji16][emoji16][emoji16]

.
 
Hehehehe!! Wataalam wanaita hizi sanitizers "alcohol", serikali imefunga vilabu vya pombe na kukamata watu wakikutwa wanakunywa pombe, utadhani hii nchi Mecca, hehehehe!!!
Subiri na nyie ifike vifungwe, mtaanza kuonana kila mtu kwenye uhalsia wake, hapa tumewekewa curfew hakuna kutoka nje baada ya sa moja za usiku, waume wanaingia kejani mapema na kukumbana na wake zao, inabidi kuvumiliana kwenye ndoa, hamna unafuu uliokuwepo wa kujificha bar.
 
Back
Top Bottom