kwan kuna ubaya ukitumia Id ya mtu unayempenda ?Ohooo!
Mambo gani tena hayoo????
Ha ha ha ha haBaada ya kusoma akili zimewatoka na kutimkia kusikojulikana wamebaki wanasema kisichojulikana!!
mi mwenyewe sielewi yan imefika fikajehe! kwaiyo hii taarifa imefikaje hapa maana kila kitu hakijulikani!!
ulishawahi kupima matatizo ya ubongo labda..?mi mwenyewe sielewi yan imefika fikaje
Nimesoma hakijulikani nisomachoWatu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je wewe unaelewa unachosoma ??
sikumbuki mkuuulishawahi kupima matatizo ya ubongo labda..?
kimbia haraka kapime ubongo wako huenda hizi ndo dalili zisijezidi!sikumbuki mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ugoro + k vant
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je wewe unaelewa unachosoma . KAMA NIMEELEWA AISEE
Duh! Unademu mkali nipe namba yake plzMkuu mimi ni mwanaume
Ila nimetumia avatar ya mke wangu
teh..teh... source please! kwa kuwa na wewe hautajulikanaWatu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je wewe unaelewa unachosoma ??