Breaking Newz...

Breaking Newz...

Baada ya kusoma akili zimewatoka na kutimkia kusikojulikana wamebaki wanasema kisichojulikana!!
 
NMEEL
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana

Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana

Na mimi sijui ninachosema

Je wewe unaelewa unachosoma . KAMA NIMEELEWA AISEE
 
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana

Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana

Na mimi sijui ninachosema

Je wewe unaelewa unachosoma ??
teh..teh... source please! kwa kuwa na wewe hautajulikana
 
Back
Top Bottom