Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #101
Mkuu mimi ni dume la mbegu na ubooo wangu unasimama kabisaBinti uchwara
Fumbo lako simple sana ni chama cha magamba CCM [emoji6] [emoji6]Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je wewe unaelewa unachosoma ??
Mkuu wewe ni bonge la great thinkerFumbo lako simple sana ni chama cha magamba CCM [emoji6] [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoa uzi kaweka utani wake wa utani
kwa ubunifu wake
halafu kwa raha zake.
Wengine wanaingia jukwaa la utani
Wamesahau kuwa wamo kwenye jukwaa la utani
wamekunja sura zao
kwa stress zao
tena kwa raha zao
Wanamtukana mwenzao.
Naamini huo mnauofanya ni utani tu
kama ule wa Johnwalker Pombe Mbaya.
Mkuu, hizo alama zinamaana gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
alama zipi hizo mkuu?Mkuu, hizo alama zinamaana gani?
Akina nani tena hao mkuu ?Wenzio walivyokuja na meli tukawazuia ingefaa msombwe mkabadilishane uzoefu
Frimason [emoji808]Hilo jina tu la kifrimason
kwanza freemason ndo wadudu gani?Hilo jina tu la kifrimason
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesoma kisicho julikana, nimetokomea kusikojulikana nimewachia wasiojulikana
Umeelewa mkuuFrimason [emoji808]
Freemason[emoji818]
Wako kichwani mwako mkuukwanza freemason ndo wadudu gani?
Huyu akaingia mirembe hatokiulishawahi kupima matatizo ya ubongo labda..?
Wacha weHuyu akaingia mirembe hatoki