Breaking Newz...

Breaking Newz...

Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana

Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana

Na mimi sijui ninachosema


Je wewe unaelewa unachosoma ??
Fumbo lako simple sana ni chama cha magamba CCM [emoji6] [emoji6]
 
Nazani hili ni tatizo la wikendi kuanza jana...mpaka kufikia juma tatu cjui utakuwa na hali gani.....
 
Mtoa uzi kaweka utani wake wa utani
kwa ubunifu wake
halafu kwa raha zake.

Wengine wanaingia jukwaa la utani
Wamesahau kuwa wamo kwenye jukwaa la utani
wamekunja sura zao
kwa stress zao
tena kwa raha zao
Wanamtukana mwenzao.

Naamini huo mnauofanya ni utani tu
kama ule wa Johnwalker Pombe Mbaya.
 
Mtoa uzi kaweka utani wake wa utani
kwa ubunifu wake
halafu kwa raha zake.

Wengine wanaingia jukwaa la utani
Wamesahau kuwa wamo kwenye jukwaa la utani
wamekunja sura zao
kwa stress zao
tena kwa raha zao
Wanamtukana mwenzao.

Naamini huo mnauofanya ni utani tu
kama ule wa Johnwalker Pombe Mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom