Breaking Newz...

Mliomdharau mleta mada bado mna msimamo uleule kuhusu watu aliowataja?

ACHA nikae KIMYA...!
 
Yah, watu wasiojulikana toka nissan nyeupe zisizojulikana na ikulu isiyojulikana!!
 
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…