Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??sizani
Na hii wameiba kwa mara nyingine tena OH GOD
We jamaa nakwambia acha kutafuta kiki na avatar za wizi[emoji15]
Haya kama umenielewa badilisha basi aseePacha nimekuelewa.
Hawa wapuuzi mod muwe mnawapa Life ban
HopelessPale unapojiona una akili wakati unaishi kwa shemeji yako
Hopeless
We jamaa nakwambia acha kutafuta kiki na avatar za wizi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Dada yako yupo ?Na tuneno twa kiingereza, ha ha ha! huna lolote na visuti vyako vya kubana na viatu vya shemeji
Dada yako yupo ?
Seriously, mwambie anicheki kwenye zile namba zanguUtamuweza? mpaka shemeji alipwe ndo umtoe out? ha ha ha! au unataka kuponea kwake?
Mfanyie kitu kisichojulikana!We jamaa nakwambia acha kutafuta kiki na avatar za wizi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Seriously, mwambie anicheki kwenye zile namba zangu
Seriously, mwambie anicheki kwenye zile namba zangu
Aina noma, kwani nitamla mwenyewe? poa, atakucheki, aina noma boby, all the best!