Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usikimbie swaliQur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuna kinywaji kipya mjini hapa kimeingiaunamaanisha nini mkuu ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mie nimesoma kisichojulikana na mpaka sasa nacomment kisichojulikana mpaka kisichojulikana kijulikane
wasamehe bure mkuu wanahitaji maombiTatizo lenu.hamjui mmeingia jukwaa gani.
Nani huyo mkuu ?Tatizo utampigaje bann wakati yuko na I'd nyingi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]chezea cha Arusha ww