breaking nuuuuz!!!

breaking nuuuuz!!!

Status
Not open for further replies.

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,832
Reaction score
635
breaking nuuuuz
ZITO KARUDI CCM
habari zaidi leo saa 5 habari maelezo 😀
 
April Fool day
Tunashuru apokelewe kwa mikono yote karudi home kwake
 
Mbona ishabandikwa hii na mtu sasa hivi jamani.....embu someni thread zilizoko...Mnaboa sasa brodas and sistos!

Zitto Kabwe huyoooo CCM
Zemu
user_online.gif
Today, 08:56 AM
Kuna tetesi kwamba Zitto Kabwe amejiunga na CCM na kisha atagombea jimbo moja la Dar es Salaaam.😕
 
wahanga wa gerrald hando hao

Huyu hando kazi kweli....nilimsikiliza akidai na kushukuru zitto ati amewaelimisha kuwa ile web address ya south africa kuishia na za ni 'azania' wakati ni zuid afrika...kazi kweli
 
hafai CCM .....ccm ni chama dume aendelee kutapatapa na vyama dhaifu
 
Mnapotuma hizi taarifa za 'Fools Day' lazima muonyeshe hivyo kwenye post zinazofuata ili kutoleta utata kwenye discussions zetu. After all fools day huisha saa 4 asubuhi. Au mods watusaidie kwa kuziondoa.
 
I hate this day cos some people do some silly things! Kuna wakati unaweza ukadhani ni fool's day kumbe ni kitu serious kwani huwa wanajoke vitu serious mno. HATE IT DONT KNOW WHY IS IT THERE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom