Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Naungamkono mawazoyako, inatafutwa sababutuapoMimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Mkuu haingii akilini,yaani uuwe au ujeruhi watu wako,kama sababu yakuivamia nchi nyingine!!,navoijua Israeli huwa hawana mda hata wakutengeneza sababu,wakiamua uvamia tu,maadamu washapeleleza baasi,Hilo ni pigo toka kwa adui.Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen
Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The military confirms that a missile originating in Yemen impacted in central Israel a short time ago, saying “attempted interceptions did not succeed.”
It says further details are being checked.
The Magen David Adom ambulance service says 14 people were lightly hurt in the missile strike in Tel Aviv, most of them as a result of broken glass.
A few others were bruised while rushing to shelters.
Times of Israel
wenye Israel yao wa matombo wamechafukwa na habari umewaalibia weekend mapema. Kuwapa ukweli na wenyewe washazoea kudanganywa au na Habari mapambio bin propaganda. Ukweli mwiko kwao Telaviv mpaka sasa wanatafuta watu kwenye vifuzi shambulizi ili NO1 kwauwalibifu ndani ya Israel kitu kimetua seem muimu kiuchumu. Na wameambiwa wawe tayali mizigo ya aina iyo inakuja vell son ndanj y Telaviv..Kumbe hujui kabisa Kiingereza.
14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
Iyo habari imekuuma leo ndio umeona siku ya kumuliza Engilish kapata ngapi!!!!! Akiletaga habari inakufuraisha mbona amtaki kujua kiswahili kapata ngap!! Mmezoeya kudanganywa povu lako nenda nalo Telaviv wenzio bado wanatafuta watu kwenye vifusi!! English yake itakusaidia nn ww mnunua udongo.Mkuu English ulipata ngapi o level?
Jikite kwenye hoja.Iyo habari imekuuma leo ndio umeona siku ya kumuliza Engilish kapata ngapi!!!!! Akiletaga habari inakufuraisha mbona amtaki kujua kiswahili kapata ngap!! Mmezoeya kudanganywa povu lako nenda nalo Telaviv wenzio bado wanatafuta watu kwenye vifusi!! English yake itakusaidia nn ww mnunua udongo.
IRAQ ngangali Hezbollah yupo ngangali Hamas ardhin yupo ngangali Yemen mziki ndio kwanza unaanza akuna aliekata moto. ukiona Gaza wanauliwa raia ujue kuna IDF wameuwawa ivyo asila zao wanaenda piga raia. HAMAS wako oky sana. Kwasasa lengo ni kuzuiya watu kusheelekea mwaka mpya ndani ya Israel ndio unaona moto unaopelekwa!!!!Israeli kesha kata mikono mitatu ya Irani (Hamas,Hezbollah na Syria) umebaki Houthi unatapatapa utakatwa soon,baada ya hapo kiwiliwili ambayo ni Iran yenyewe inaenda kutenganishwa na cancer Ayatola,Iran mpya inakuja
Sababu ya kuishambulia Yemen wanayo, hakuna haja kutengeneza mazingira.Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
sasa si ungelala tu JF aipokukufuraisha kila siku leo imekula kwako kunywa maji mengi utatulia.Jikite kwenye hoja.
Baada ya kushiba magimbi na viazi vitamu asubuhi hii apo kwa shemeji yakoo,umeona na wewe uje uandike hiki.Israeli kesha kata mikono mitatu ya Irani (Hamas,Hezbollah na Syria) umebaki Houthi unatapatapa utakatwa soon,baada ya hapo kiwiliwili ambayo ni Iran yenyewe inaenda kutenganishwa na cancer Ayatola,Iran mpya inakuja
Mzee ndio hata kuandika hujui?Iyo habari imekuuma leo ndio umeona siku ya kumuliza Engilish kapata ngapi!!!!! Akiletaga habari inakufuraisha mbona amtaki kujua kiswahili kapata ngap!! Mmezoeya kudanganywa povu lako nenda nalo Telaviv wenzio bado wanatafuta watu kwenye vifusi!! English yake itakusaidia nn ww mnunua udongo.
Utumwa wa fikra na kukariri ni tatizo lako kubwa sana, kujua lugha sio ndio kusoma, lugha ni jambo jingine na na kusoma ni jambo lingine usikaririKumbe hujui kabisa Kiingereza.
14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?