Breakup ya kwanza ilikuaje?

Pole sana mkuu,hakuna kitu kinauma kama mtu unayempenda kukuambia hakuona faida yyte kwenye mahusiano,usiombe yakukukte,aisee nimeumia kwa sababu nami niliambiwa maneno kama hayo,kuwa hakuona faida yoyote kuwa nami na Wala hawezi kunikumbuka kwa chochote duh!
 
Ww ni mr lava lava acha kuyachukulia mapenzi serious 🤣🤣🤣
Hunijui wewe, umesoma uzi lakni🤣 acha mizengwe na kufikiria mtu utakavyo mtoto kabisa kumbe dah, nyie ndo mnaohisi mapenzi ni kama chakula unakula na kuny* Lamomy nimekushusha viwango 🤣! Juzi nilikusifia kwenye uzi wako uloanzishiwa sjui na nani, nahis nae zoba tu, najuta kufanya ivyoo🤣🤣🤣
 
Ilichukua miaka 10 kumsahau..I think nilmpenda kuliko uhai wangu,zaid ya uwezo wangu wa kufikiri..it happened once.
and never shall it come again!!ni sawa na kutahiriwa huwa haijirudii mkuu
 
🤣🤣🤣🤣 Ndio tatizo lenu wabongo hampendi kusikia upande wa pili unasemaje, mnataka kusikia kile mnachokipenda..!!
Mi nimekuvua nyota zote haiwezekani ulalamike kuachwa na mtoto wa kike na mpk sasa bado hujamove on!! We vipi??
 
hahahah,wew jamaa ni mimi mtupu,gheto nilikua nakula push ups kila nikiamka,movies za kikatili zikawa kipoozeo,hatimae nilimsahau na kuanza kuwa~hit em up!yule manz alinikomaza na kunipa new life style!...ila Pac ana madude hatari!
Ila yule mwamba ngoma ya hit em up(michano ya humo ni next leve) aliua hatari, ukisikiza huwez kosa motivation alikua na spirit flan hv hakuna rapa duani atakuja kum replace. He's the great rapper of all time.

sku hizi natumia slogan ya booty calls. nachapa manzi napita hivi, kuna faida ya kuwa thug mzee, watu wanahisi ni mpka uwe mvuta bangi kama mathug wengine, hio ni lifestyle tu.
 
Pole sana mkuu. Hisia zina nguvu kupita akiri. Ila mwishoni lazima ukubaliane na hali.
Sure...alinifanya niwe imara sana...ogopa kuachana na mwanamke unayempenda halafu mazingira nje ya mapenz yanawakutanisha kipindi una struggle kumsahau..
 
and never shall it come again!!ni sawa na kutahiriwa huwa haijirudii mkuu
Yeah sure,sijawahi tena kuumia na kuna siku tulikutana somewhere we even shared a room ila hata kusisimuka hakuna it was as if am with my sister...
 
Nan kasema haja move on, hujasoma uzi unaleta mabishano tu humu🤣, nakujua vizuri nd zako ila sikushangai 🤣🤣🤣. Mbona ninaye tena pisi ye yenye kila sifa.
 
nailed it,sijawahi vua ndumu,hata tungi sijui but i am thugger vibaya mno,hiphop za mbele zinakufanya uwe hustler na kuwa mgumu sio kulialia na vitu vidogo,sasa iv niko less emotional living my life!
 
Kweli wanaumr tumeumbiwa mateso 😂😂
 
Hapo kila mtu alishika njia yake🤣🤣🤣. Et umeachwa af unanenepa huoni ni kama ulijitua mzigo?
uzur n kwamba tumbo na moyo havihusiani bwan 😂😂ebu imagine nyama aah napenda sana misos mizur mizur ndo ilkua mingi apana nilchagua kula🙌🏾
 
Yule dada alifanya nikawa nasikia kama kuna kitu kizito kimekwama kifuani, ilinichukua miezi kama 6 kukaa sawa. Mtu mko vizuri tu hamjagombana umeenda tu mkoa tofauti kama mwezi Ile umejipanga sasa unarudi uonane na bebe anakwambia hatuwezi kuonana mi mke wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…