Breakup ya kwanza ilikuaje?

Kiliniramba alooh! Maji niliita mma, siku tatu nzima nilijifungia ndani, na repeat song ya pain in me kuanzia asubuhi hadi usiku..usiku wa manane. Nakumbuka watoto wanarudi shule jioni wanaona kama siko sawa." Daddy are you allright?!" .lilikuwa swali la watoto kila wanaporudi shule. Sasa sijui walizungumza nini na mama yao ( ex - wife ) akanitumia ujumbe angalau ulinipa nguvu na kuwaza kuwa inabidi nisimame imara. " alubati are you okay? Najua hali hii inaumiza lakini imeshatokea,hakuna kitu tunaweza badilisha,move on...stay strong..stay strong just for hao watoto,unawapa wasiwasi na unyonge pia." Kuanzia hapo nikawa kama nimezinduka usingizini. Hata aina ya mziki nikabadilli sasa kutoka why dont you see that pain in mee ...hadi ridin' ya chamilionare,nakumbuka nikiwa room na rap " they se me rollin' ..they hatin'.. patrollin tryna catch me ridin' dirty,tryna catch me ridin' dirty..
Nashukuru Mungu hili nalo lilipita salama.
Sasa hivi nikiwa na wapenzi watano naona wachache.
 
Mimi niliambiwa siendani nae hiyo ni baada ya kushauriwa na mashoga zake ety mimi sina swagga ety nanyoa kama babu, sivai pamba kali, nipo kama sipo πŸ˜‚
Pole sana mkuu Mbaga Jr . Mimi nilipitia kama hii, ingawa sikuambiwa wazi wazi ila shoga zake ndio waliokuwa wanamshauri. Nikasepa zangu na ku-delete namba yake, cha ajabu hakufuta namba yangu akaanza kunitafuta tafuta kwenye simu nikawa na msimamo sikutaka kabisa kurudiana nae. Na hii kunitafuta ni baada ya yeye kugundua nilikuwa mtu mwema sana kwake.
 
Mkuu,
Ume recovery within very short period of time ie. 2 months

Huwa inachukua muda Sanaa 😊 labda ukipata sababu mbaya mbaya za kumfanya umchukie

NB.
Love is wicked
 
Mwanamke ukimkaushia anaumia sana kwasababu anakosa attention yako. Safi sana mkuu.
 
Kazi zipi ? πŸ˜‚weka yako kwanza
Za ujenzi wa taifa 😜

Mimi ukinitumia msg β€œ baby i love you πŸ₯°β€ naisoma kwa dharau na kwa herufi kubwa tena kwa kisukuma β€œBEBI HAI LAVU YUHUπŸ‘Ήβ€ basi wala sikutilii maanani sasa hata ukiniacha ntaumia vipi??

Wewe kuanzia ss hivi anza kusoma msg kwa mtindo huo uone km utasumbuka kupenda hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo unasoma kwa hisia na kwa sauti ya mtumaji kwann mapenzi yasikutese??
 
We acha tu mzee wangu, hawa wapenzi wetu wana waamini sana marafiki zao hasa kwenye mambo ya mahusiano yn wakikuweka kwenye mahakama yao ujue umeisha
 
Mwaka 1964 naingia Tabora Boys nikakutana na Stella mtoto wa sekandi masta. Hata sijui ilikuwaje lakini aliponipiga chini kidogo niache shule aisee. We were just young innocent souls searching for our place in this vast universe. Dah! Mapenzi nyie acheni tu!
 
Kuna ile ana sema blame to my mama, am a Black thug nigga ni , ni ipi πŸ˜€
 
Ile nyimbo ya Stella wa kenya ilikuwa ime toka wakati huo??πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…