BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Nawasalimu Kwa USD dollars.

Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS).

Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company.

Najua humu JF kuna wadau, tunaomba hili swala litatuliwa haraka Sana.

Mimi binafsi sipendi kutembea public office directly Kwa Sababu ya rushwa za hapa na pale.
 
Mifumo mingi ya kimtandao kwenye ofisi za umma zinazungua sana.

Tatizo hawaajiri watu wenye uwezo wa kutosha kwenye masuala ya kimtandao.
SIFA ZA AJIRA SIKU HIZI ZIMEGEUKA NA KUWA NI UCHAWA.
 
Mifumo mingi ya kimtandao kwenye ofisi za umma zinazungua sana.

Tatizo hawaajiri watu wenye uwezo wa kutosha kwenye masuala ya kimtandao.
SIFA ZA AJIRA SIKU HIZI ZIMEGEUKA NA KUWA NI UCHAWA.
Tokea internet ilivyokuwa Low Nchini mpaka Leo ORS inazingua, huu ni uzembe mkubwa sana
 
Back
Top Bottom