Naandika hili andiko kwa masikitiko makubwa sana kuhusiana na tovuti ya BRELA (msajili wa majina ya biashara). Hii website ki ukweli siyo user friendly. Ina complications kibao hadi inafika mahala mtu unaamua kuzima laptop nakuachana na zoezi la kusajili nakuanza kutafuta madalali wataomaliza hiyo kazi (ambao ki ukweli gharama zao nao si rafiki).
Naomba sana wahusika mfanye marekebisho yatakoyewezesha website yenu kusajili jina la kampuni isiwe kero.
Imagine taarifa zote kuanzia NIDA zimekuja automatically na bado umesajili visanduku vyote cha ajabu unaambiwa mara namba uliyoingiza si sahihi etc. Angalieni nchi nyingine kama Rwanda nk website zao ziko fasta na ni user friendly shida nn?