Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
System yenu kiukweli siyo rafiki kwa mtumiaji. Niliwahi kuitumia lakini ilifika wakati nikanyanyua mikono na kumtafuta mtaalamu na ndiye aliyeokoa jahazi kwa malipo.Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba tutumie taarifa ulizotumia kutengeneza akaunti yako kwa njia ya ujumbe (message) kwaajili ya msaada zaidi.