BRELA, ifanyeni tovuti yenu kuwa rafiki kwa watumiaji (user friendly)

Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba tutumie taarifa ulizotumia kutengeneza akaunti yako kwa njia ya ujumbe (message) kwaajili ya msaada zaidi.
System yenu kiukweli siyo rafiki kwa mtumiaji. Niliwahi kuitumia lakini ilifika wakati nikanyanyua mikono na kumtafuta mtaalamu na ndiye aliyeokoa jahazi kwa malipo.
 
System yenu kiukweli siyo rafiki kwa mtumiaji. Niliwahi kuitumia lakini ilifika wakati nikanyanyua mikono na kumtafuta mtaalamu na ndiye aliyeokoa jahazi kwa malipo.
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, pindi unapokutana na changamoto katika kutumia mfumo wetu usisite kuwasiliana nasi kupitia namba yeti ya kituo cha miito BRELA 0222212800 kwa msaada zaidi.
 
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetu.
 
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba kufahamu changamoto ambayo umekutana nayo katika kutumia tovuti yetu ambayo unashauri juu ya kuboresha zaidi, kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya kituo cha miito BRELA 0222212800.
 
Mimi nimefanikiwa kuijaza fomu sasa nataka nijue baada ya kuisaini naituma katika mfumo upi

Kitu kingine kwenye shughuli za biashara mmeweka chache nilijaribu kujaza other services imenigomea nikaweka shughuli nyingine ili nikamilishe usajiri
 
Habari, tunaomba kufahamu aina ya usajili ambao unafanya katika mfumo wetu kwaajili ya maelezo zaidi, pia tungependa kufahamu shughuli ambazo unahitaji kujaza kwaajili ya kupatiwa ufafanuzi.
 
Jina la biashara mmelimit shughuli ukiweka zaidi ya 3 inakataa.
Na Je kama nina jina la biashara ninaweza kuigeuza kuwa kampuni?
 
Habari, katika usajili wa jina la biashara (business name) shughuli mwisho ni nne, ndio unaweza kusajili kampuni mpya BRELA kwa kutumia jina la biashara yako ambalo tayari limesajili BRELA, utatakiwa kufunga jina la biashara husika (ceasation of business name) kisha utaendelea na usajili wa kampuni.
 
Siyo Siri ORS brela imeniingiza gharama kubwa kuhuisha kampuni yangu Hadi nimetafuta kivuli ni pumzike,huwezi amini ni mwaka wa 4 Sasa,yaani Brela ni too local!!!! Nimeamua kufanya biashara locally,tu,Sasa,vishoka wa mtaani "brokers" wananiambia wanishughulikie kwa laki 7,na huku nilishapoteza fedha nyingi tu ORS Brela ni shida nilifikiri ni Mimi tu labda Nina gundu kumbe tuko wengi.namja hii,niliogopa hata kusema nikidhani nimepigwa na vijana wa mjini,kumbe ni shida ya walioshika mpini wa brela
 
Brela fanyieni kazi hili swala . Yani kusajili jina tu niliishia njiani. Si mimi pekeyangu hata ndugu yangu. Mimi nilisubmit Business name tangu mwaka jana na nililipia. Angalieni kwenye databaase yenu mkiona application zimeishia njiani na mtu kalipia mjue ni changamoto ya mfumo wenu
 
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) kwaajili ya msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…