Tetesi: Brela kwafukuta, Hali si shwari mapato

Tetesi: Brela kwafukuta, Hali si shwari mapato

Makampuni yanafungwa, mkiendelea kuamini yote yalikuwa ya wapiga dili ruksa endeleeni kuamini hivyo hamkatazwi kuchaguwa ujinga.

Nina kikampuni changu cha pembeni hiki pia nataka nikifunge kisheria msije kupiga takwimu batili za idadi ya makampuni, mengi yameshashindwa kufanya biashara.

Funga tu. Kama mambo yamekushinda

Wengine ndiyo kwanza tunaongeza kufunguwa.
 
si ilikuwa kampuni yenu? Anyway habari za Edmonton au calgiary?

Kampuni yenu na nani?

Wrong number. Sijawahi kuwa na kampuni inayoitwa home shopping center. Nimewahi kuwa mteja wao kama ilivyo kwa Watanzania na wasio Watanzania wengi sana na wamenipa risiti inayoonesha makato ya VAT kihalali.
 
bibie nicheck basi inbox tufahamiane vizuri ama nisubir hadi mwez mtukufu upite
 
One man show..

Yeye anataka kufanya kila kitu yeye.

Mfumo umelifikisha taifa hapa.

Solution ni katiba ya warioba..
Sasa Katiba na Brela zinahusianaje. Brela na TRA ni ishu zinaitaji maswala ya Kibiashara zaidi tofauti na mawazo ya kisiasa zaidi. Ni jinsi ya kubadilisha mifumo ya utendaji wa kazi. Ni kama unavyoona TRA walibaridisha mifumo ya utendaji kazi kutoka katika analog kuja digital
 
Mfumo wa elimu mbovu ndio uliotufunza Kiswahili kinachochokonoa kinyaa ukinusacho..Wewe unaekokotoa usahihi wa lugha kwa wenzio kinakusaidia nini hiki kiswahili unachotumia kama siraha ya kukengeusha tetesi jamvini..Ikiwa ni uongo ukweli ni upi basi..Wahenga walisema " Lisemwalo lipo kama halipo linakuja"

Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
 
sio upuuzi mama,ni uharo..niwie radhi kwa kukutia kinyaa muda wa daku

Wafaidika wa mifumo ya uharibifu hawawezi kufuraia vuguvugu la upingaji udharimu...Dawa ni kujirekebisha dhidi ya maisha ya wizi,ufisadi,uhalamia
 
Wafaidika wa mifumo ya uharibifu hawawezi kufuraia vuguvugu la upingaji udharimu...Dawa ni kujirekebisha dhidi ya maisha ya wizi,ufisadi,uhalamia
uharamia,lazima watu wote wafanane na mawazo yenu,tofauti na hapo ni mnufaika?..eti!
 
Back
Top Bottom