Sitaki masada wenu natoa ushauri.Habari, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo katika mfumo wetu kwa ajili ya msaada zaidi.
Tunaomba kufahamu umekutana na changamoto gani kwa ajili ya maelezo zaidi.Sitaki masada wenu natoa ushauri.
Njia ya kwanza ya kufanya biashara Nchi yoyote Duniani ni company/business formation.
Ili kuwe na ushindani na Urahisi inabidi third parties siruhusiwe kuwa na portals watu wawe wanatumia hizo badala ya kulazimika kutumia BRELA peke yake.
Mataifa kama Uingereza, USA, Hongkong, Indonesia yameweza
Tunataka wadau wapya waruhusiwe kuunda mifumo mbadalaTunaomba kufahamu umekutana na changamoto gani kwa ajili ya maelezo zaidi.
Asante kwa maoni yako.Tunataka wadau wapya waruhusiwe kuunda mifumo mbadala
Habari, ni ndani ya siku tatu za kazi.Inachukua siku ngapi, kupata majibu ya BO ?
Huu ni uongoHabari, ni ndani ya siku tatu za kazi.
Na ndio inatakiwa iwe hivyo , sehemu MojaMnaonaje na huu mfumo wa BOS ukawana mfumo wa beneficial owner pamoja na uwezo wa kuangalia mfanano wa majina?