Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,331 Reaction score 9,542 Mar 4, 2026 #1 Haya mawasiliano yamewekwa brela ni urembo au, Aisee hawajamaa hawaja wahi kupokea simu. Yani kama uko shamba inabidi ufunge safari tu kufika ofisini.
Haya mawasiliano yamewekwa brela ni urembo au, Aisee hawajamaa hawaja wahi kupokea simu. Yani kama uko shamba inabidi ufunge safari tu kufika ofisini.
Superintendent kimura JF-Expert Member Joined Feb 24, 2023 Posts 549 Reaction score 2,005 Mar 4, 2026 #2 Yaani taasisi karibu zote za serikali ukitoa TRA kwa mbali simu zao wala email usahau kabsa kupata mrejesho wa kupokea simu Kuna hii namba yako 0222212800 huduma kwa wateja nimepiga wiki yote iliyopita bila kupokelewa
Yaani taasisi karibu zote za serikali ukitoa TRA kwa mbali simu zao wala email usahau kabsa kupata mrejesho wa kupokea simu Kuna hii namba yako 0222212800 huduma kwa wateja nimepiga wiki yote iliyopita bila kupokelewa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Mar 4, 2026 #3 Hao jamaa ni pasua halafu wanajiona kama miungu watu