BRELA now comes up with online registration system

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917

Source:The guardian

MY TAKE

Hivi jamani kweli sie tuko serious? Hebu angalieni hii website ya BRELA halafu mseme inaendana kweli na institution yenyewe? Au ndo kama kawa ofisa amekula percent yake?
 
Source:The guardian

MY TAKE

Hivi jamani kweli sie tuko serious? Hebu angalieni hii website ya BRELA halafu mseme inaendana kweli na institution yenyewe? Au ndo kama kawa ofisa amekula percent yake?

Hata kufunguka tu ni shida, hamna taarifa zozote za makampuni kuna poor configaration, lakini ndo hawa ma IT wetu, akiajiriwa mkorea or wazawa tunanyimwa fursa,
 
wizi tuu

why haya mambo yafanywe kwa urasimu

ukitaka ku search business name kama vile CRDB watakwambia lazima ufanye registration ndio utaweza kufanya usajili

Evidence hii hapa

https://ors.brela.go.tz/login
hata ukitaka kufungua akaunti fesibuku unajisajiri wakujue,unaogopa nini?
una bifu binafsi na BRELA wewe,sio bure
 
Source:The guardian

MY TAKE

Hivi jamani kweli sie tuko serious? Hebu angalieni hii website ya BRELA halafu mseme inaendana kweli na institution yenyewe? Au ndo kama kawa ofisa amekula percent yake?
unaweka habari ya gazeti la the guardian ndio unasema ni website ya BRELA?
mkuu,ukikosa kazi brela,kuna taasisi nyingibe,omba tu utapata
 
Brela kuna siri nzito sana

naanza kuamini tatizo sio BRELA bali kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…