MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
BRELA wametangaza bei mpya elekezi kwa ajili ya kusajili makampuni na biashara ambazo zitaanza kutumika kuanzia tarehe 01 July,2015.
=========

TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia Mangazo ya Serikali Namba 126 na 127 ya tarehe 25 Aprili 2014, ada mbalimbali zinazotozwa chini ya Sheria ya Makampuni (Sura 212) na Sheria ya Kuandikisha Majina ya Biashara (Sura 213) zimebadilika. Ada hizi mpya zitaanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 1 Julai 2015, na zitakuwa kama ifuatavyo:-
Bonyeza hapa chini kusoma Taarifa hii kwa kirefu;
View attachment 269644010-bei-mpya-za-usajili-makampuni-na-majina-ya-biashara-ambazo-zitaanza-kutumika-kuanzia-.docx