Brentford FC ndio mabingwa wa EPL msimu huu anayebisha tukutane Mei siongei sana

Brentford FC ndio mabingwa wa EPL msimu huu anayebisha tukutane Mei siongei sana

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Mimi ni mshabiki wa Brentford na Liverpool damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees au the reds ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa manundu sana msimu huu.
 
Mimi ni mshabiki wa Brentford damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa manundu sana msimu huu
Hatukatai, ila ungeleta hata sababu Kadhaa za kusapoti uzi wako.
 
Kuna yule dogo wa England aliitabiria Leicester city kama hivi, mwisho wa siku kampuni la betting likanegotiate dogo apunguze winning prize maana kwa mkwanja uliokuwa unatakiwa dogo alipwe kampuni ilikuwa inaenda kufilisika
 
1757003754311.png
 
Back
Top Bottom