Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sawa ila the bees ni mabingwaBANGI MBICHI NI HATARI KWA USTAWI WAKO.
Hatukatai, ila ungeleta hata sababu Kadhaa za kusapoti uzi wako.Mimi ni mshabiki wa Brentford damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa manundu sana msimu huu
TUMESAJILI VIZURIHatukatai, ila ungeleta hata sababu Kadhaa za kusapoti uzi wako.
We umepigaUmepiga mswaki lakini we kolowizard?
Nitaipata wapi hii kaka??BANGI MBICHI NI HATARI KWA USTAWI WAKO.